In lieu of an abstract, here is a brief excerpt of the content:

AKHBAR PATEH (f. 1) Mutu wa-k(w)iinda kuya Pate katika Nabahiini Sulaymiin bin Sulaymiin bin Mu~affar al-NabahanT na-(n)duze watu wawili, 'All bin Sula[y]miin na-'Uthmiin bin Sulaymiin. Na-hiiyu Sula[y]miin bin Sulaymiin almadhkiir (n)diye aliyo_kuwa sultiini 'Arabiini, alipo_tawali al-Ya'rubI akaya Pate, sanati 600 sitamia hijriyah akaya Pate. Kataka 'ariisI k(w)a-mufalume wa-Pate katika ha-Wa-al-Bata_win, nii-ye ni-ma'ariifu Sultan Sulayman, mufalume wa-Pate kamuuza binti kiki. Na-dastiiri ya-jami'i ya-Wa-SawaJ:tili 1:tata sasa mutu kikuoleya binti Yake, siku iIi ya-saba'a 'ariisI he(n)da kum(w)a(n)galia mukewe baba wa-muke wake humupa kitu, kula mutu k(w)aI ,cadiri yake. Sulayman bin Sulaymani alipo_ke(n)da kum(w)a(n)galia ba'ada [si]ku saba'a uli mufalume wa-Pate kawapea watu, hiyo Sulayman bin Sulayman, (n)diye mufalume mahala pa(n)gu akamupa ufalume wake. Tan (n)gu hapo katawali Sulayman bin Sulayman. K(w)alina na-muji katika iyo jazirah ya-Pate hit(w)a K[ita]ka katika matila'a ya-Pate, na-SIu hatasa_kuwa mji. Waliko na-muji mu(n)gine katika iyo jazirah ya-Pate hit(w)a Shii(n)ga. Na-yo miji hiyo yalikuwa katika tii'a yamufalume wa-Pate. Na-Fazah waliko muji we(n)yewe wa Piizah alMafiiziyiina . Ukaketi ufalume hunu na-miji hi[z]i, Pate na-Sha(n)ga na-Kitaka, katika !a'a ya-mufalume wa-Pate. Na-Ma(nd)ra alIko mufalume wake (m)biili, na-ye alina (n)guvu sana. Na-hiiyu (f. 2) Sultan Sulayman akapata zijana wawili, Mu1:tammad wa A~mad. Akafa Su1tani Sulaymani sanati 625. Na-Mu~ammad 'umuri wake 278 MS 177 (n)yaka 'ishirln, A~mad 'umri wake (n)yaka [k]hamsata 'ashara. Katawali Mu~ammad bin Sulayman ba'ada ya-babiike. Watu waSha (n)ga wakakhalifu kapijana nao kawa_shi(n)da na-muji kau_vu(n)da kao(n)dowa, a~ili ba'a~a ya-watu wakaja Pate. Na-ba'a~i ya-watu \<:abila yao Kina(n)da(n)gu wakaki(m)bia wasijuwekane wamezi_po_ke(n)da, ~atta siku zikapita ikaja khabari k(w)a-Sul!an Mu~ammad bin Sulayman na-watu wi(n)da'o kue(n)da wakam(w)ab(m)bia, "Wale wa [S]lu tumewaona katika m(w)itu." Kapeka watu kuwajn)galia wakawadirika, wamera(n)ya zijiimpa ndani ya-m(w)itu, wakawa_tukua wakaja nao Pate. Sultan Mu~ammad kawa_same~e kawaru_disha mahala pao. (N)diyo a~ili ya-muji wa-Slu. Na-WaSawa~ili wa(n)gine wakaketi wote wakaja na-Wa_Famau waka_keti wote wakawa (n)dio wakiip(w)a wa-Slu katika !a'a ya-mufalume waPate . Akafa Sul!iin Mu~ammad bin Sulaymiin. Katawali (n)duye A~mad bin Sulayman aka'amirisha sana nti ya-Pate katia na-mashampa na-kuwaka maju(m)pa na-nti hizi zote katika !a'a asipiji mahala, akafa sanati 670. Katawali kijana wa-(n)duye jina lake A~mad bin Mu~ammad bin Sulayman. Kaketi siyara ya-'ami-yake katika 'imara ya-muji wa-Pate k(w)amuju (m)ba na-mashanpah. Na-ye kapata zijana wa(n)gi. Akat(w)a'a ufalume katika (f. 3) zijana ziike Mu~ammad bin A~mad bin Mu~ammad bin Sulayman. Akaketi na-watu sana. Watu wa-Fiizah wakakhalifu, kawapija kawatia katika tii'a yake ba'ada ya-zita zi(n)gi sana ~atta alipo_washi(n)da. Kafuta~i na-Manda kaitamalaki, ama Mii(n)dra aliitamalaki k(w)a-zita na-~TIa (n)yi(n)gi sana k(w)iini [a]lina (n)guvu sana sul!ani waMa (n)ra ya-watu na-mali ma(n)gi, kaiviinda kabisa na-watu wa(n)gine kawaeta Pate. [18.189.180.76] Project MUSE (2024-04-26 09:31 GMT) TRANSCRIPTION 279 Na-ba'a~i wakaki(m)bia wake(n)da kula mahala, wa(n)gine wakaja Shela waka(n)gia katika Qimaya ya-watu wa-Uimiih, mufalume kawa_taka k(w)awatu wa-Lamiih, watu wa-Lamiih wakaiza kuwa_toa. Na-wa(n)gine wake(n)da Malindi na-ba'a~i ya-buludani. Mufalume wa-Pate kawa'a(n)dama sana hawa waliyo_kuja Shela, watu wa-Lamiih wakaiza kuwa_toa J.cata'an. Maneno haisa mufalume akafa sanati 732. Kamuwata kijana umoja hit(w)a 'Umari. Katawali usultani 'Umar ba'ada ya-babake, kariije'i maneno ya-babake k(w)a-watu wa-Lamiih kutaka watu wa-Mandah, wakaiza watu wa-Lamiih kuwa_toa. Kawa_pija zita wakataka amani watu wa-Lamiih, wakawa katika ta'a yake. Na-Sultiin 'Umar bin MUQammad bin AQmad bin MUQammad bin Sulayman akapata (n)guvu sana kapija na-miji ya-SawaQTIi, Uzi Malindi Kiwayii Kitao Miya na-'Imidhi na-Watamu Qata akasikilia Kirimpa. Miji yote katamalaki ta(n)gu Pate Qata Kirimpa, kula muji kaweka watu wake weye kuQukumu. (N)diyo a~ili ya-hawa maju(m)be waliyoko (f. 4) mirima yote. Ma'ana ni-wa-tiim(w)a wa-yiimpe na-hiyo yiimpe ni-(n)yiimpa ya-ufalume waPate . Na-janibu ya-matla'i katamalaki Qata Warshekh k(w)a-zita zi(n)gi, alika(n)da kupija zita ta(n)gu Kiwayii na-Tiila na-Tuwala na-Shu(n)g(w)aya nabanadiri zote, Barawah Marika MuJ.cudishu. Kaweka al-wali jami'i aQkam za banadiri zote zikawa MuJ.cudisho. Ka'ishi na-nti zote hizi katika Qukumu yake na-ta'a yake illa U(n)giija hakutawali waJ.cati hunu na-U(n)guja haikuwa nti kiip(w)a. Na-mfalume huyu Sultani 'Umar alikipe(n)da zita na-kupe(n)da ra'iya, na-ra'iya wakimupe(n)da sana, ikat(w)a'a (n)guvu sana Pate. Akafa sanati 749. Kawata zijana wawili MUQammad na-AQmad. 280 MS 177 Akatwali Mul)ammad bin 'Umar bin Mul)ammad bin Al)mad bin MuJ.tammad bin Sulaymiin. Walii hapakuwa na-zita, akashika ufalume wa babake k(w)a-amiini. Nii-ye alikipe(n)da miili sana, akisafirisha na-zo(m)bo kipeka Hind kum(n)ya bi'ashara nii-ye alino bakhati sana ya-miili. Na-mara moja alisafiri kijiina chake kapata ma'adini ya-feC;ia kaya nayo Pate kam(n)ya watu kuyom(n)ya kazi kapata mali ma(n)gi sana wakam(n)ya zitara za fiC;ia na- (n)giizi za fiC;ia na-zo(m)po zi(n)gi za kutumie feC:ia. Nii-ye kapata zijana wii(n)ne, B(w)iinah Mkuu na-AJ.tmad na-Abu Bakr na-'Umar. Nii-ye mufalume akafa sanati 797. Katawali (n)duye AJ.tmad bin 'Umar bin MuJ.tammad bin AJ.tmad bin MuJ.tammad bin Sulaymiin. Kaketi na-watu k(w)a-amiini na-sayra (n)jema sana, akafa sanati 840 kusitaJ.taraki ya(m)bo. Katawali muluku (f. 5) Abu Bakr bin MuJ.tammad bin 'Umar bin MuJ.tammad bin AJ.tmad bin MuJ.tammad bin Sulaymiin. Kaketi k(w)a-siyiira (n)jema na-miji yote katika tii'a yake, akafa sanati 875. Nii-ye kakhalifu zijana wawili MuJ.tammad na-AJ.tmad. Katawali MuJ.tammad bin Abu Bakr bin MuJ.tammad al-madhkiir. Wa\cati wake wakaya WaZu(n)gu Portug'isi katika miji ya-Sawiif.tili yote, wakaketi Mombiisah wakam(n)ya ngome, na-janibu ya-Pate wakaje(n)ga Indondo. Na-wiitu wa-bara wakawa_fuiita wak[a]wapa mali wakawa katika til'a yao. Wakamu'ariC;ii mufalume wa-Pate katika nti ya-Pate wakamupija mufalume zita k(w)a-jiinibu ya-Shi(n)dakiisi, wakawaka na-nti ya-p(w)ani k(w)a-ma'ana ya-chochoto, ilii al-iina mawiishi ya(m)po, \ca~idi ya-kupija (n)yumpa za muji wa-Pate wasiweze. Kisa wakapatiina k(w)ii-'amiini wakam(n)ya mikiitaba ya-shurti ziio. Wakaketi Pate WaZu(n)gu wakam(n)ya furuC;ia k(w)a-jina la-WaZu(n)gu TRANSCRIPTION 281 walichamkuwa "fandika." Wakata(n)ya na-ma(m)po ma(n)gi katika kisiwa cha-Pate. Akafa mufalume sanati 900. Kakhalifu zijana wawili, B(w)anah Mkuu na-'Abu Bakari. Katawali Abu Baler bin MuJ:!ammad bin Abu Bakr bin MuJ:!ammad bin 'Umar bin ¥uJ:!ammad bin AJ:!mad bin MuJ:!ammad bin Sulayman. Kaketi naWaZu (n)gu k(w)a-amani kama \ca'ida ya-babake, akafa sanati 940 kusitaJ:!araki ya(m)po na-ye kakhalifu zijana wawTIi AJ:!mad wa MuJ:!ammad. Katawali (n)duye B(w)anah Mkuu bin MuJ:!ammad al-madhkUr. Wakawa na-khitilafu yeye na-WaZu(n)gu lakini pasiwe n-zita, ni-fitina siku (n)yi(n)gi wala hawa_ku'ariQiyana. Akafa sanati 973. Kakhalifu kijana umoya hit(w)a Abu Bakr. Katawali MuJ:!ammad bin Abu Bakr bin MuJ:!ammad bin Abu Bakr bin MuJ:!ammad bin 'Umar bin MuJ:!ammad bin AJ:!mad bin MuJ:!ammad bin Sulayman. (f. 6) Aka~iliJ:!iyana na-WaZu(n)gu wakat(w)a'a ba'aQi ya-miji. Akafa sanati 1002. Kawata kijana jina lake Abu Bakr asitawali. Katawali Abu Bakr bin B(w)anah Mkuu bin MuJ:!ammad bin Abu Bakr bin MuJ:!ammad bin 'Umar bin MuJ:!ammad bin AJ:!mad bin MuJ:!ammad bin Sulayman. Kaketi na-WaZu(n)gu kama siyara ya-waliyo_ta(n)gulia wazee wake, lakini Pate ipu(n)guzia (n)guvu. Akafa sanati 1041. Kawata zijana wawili, Abu Bakr na-B(w)ana Mkuu. Katawali Abu Bakr bin MuJ:!ammad bin Abu Bakr bin MuJ:!ammad bin Abu Baler bin MuJ:!ammad bin 'Umar bin MuJ:!ammad bin AJ:!mad bin MuJ:!ammad bin Sulayman. Ikawa ikhitilafu na-WaZu(n)gu PorutugIs, kapijana nao kawavu(n)da WaZu(n)gu ba'ada ya-zita zi(n)gi sana. Ba'adaye zikaja tena zita za-WaZu(n)gu, wakapija muji wa-Pate k(w)a-mizi(n)ga wakaziweya na-(n)dia baJ:!arini kusipiti cho(m)po. Watu wakaona mashaka sana [18.189.180.76] Project MUSE (2024-04-26 09:31 GMT) 282 MS 177 wakafii(n)ya amiini. Akafa mufalume sanati 1061. Kawata zijana wawili B(w)iinah Mkuu na-A~mad. Katawali B(w)iinah Mkuu bin Abu Bakr bin [B](w)iinah Mkuu bin Mu~ammad bin Abu Bakr bin Mu~ammad bin 'Umar bin Mu~ammad bin A~mad bin Mu~ammad bin Sulaymiin. Akapata_na na-WaZu(n)gu sana na-ye alipe(n)da sana kuketi Liimuh ~atii musimu kuwaeta Uimuh, kafii(n)ya arusi k(w)a-watu wa-Liimuh. Na-katika w~ati hunu WaFamiiu watu wa-Siu walitoka katika tii'a yake, akawa_pija kavundii na-muji wa-Siu kauvu(n)da ba'a<;li kashika na-wiitu wa(n)gine katika watu wa-Siu kawaeta Pate. Mukub(w)a wa-Siu ka_ki(m)bia ake(n)da Ndondo k(w)a-Portugiili katiika (f. 7) ~imiiyah. Mukup(w)a waPorutugiili akaja katika wiitu wa- Siu k(w)a-mufalume kawasiime~e akapowa kawarejeza mahali p[ao] Siu katika amiini. Ba'adiiye Portugiili kafii(n)ya ~ila, akaja Pate k(w)a-marikabu akamutaka mufalume ke(n)da marikabuni, asi[n]e(n)da kamupeka ibn 'ami-yake B(w)iinah Mkuu, yeye na-wiitu wa-Pate. WaZu(n)gu wakawa_tukua katika marikabu kawapeka k(w)ii-'UZu(n)guni asiridi ~atii mutu umoja. Ba'ada ya-hapo mufalume kawapija WaZu(n)gu k(w)a-jiinibu zote k(w)abariini zisiwiini kawa_toa jiinibu za huku, wakakimbilia Mombiisah. Ba'ada ya-hapo akafa mufalume sanati 1100. Kawata zijana wawili Bu Bakr naB (w)iinah Madi na-binti umoja hit(w)a M(w)iina Darini. Katawali B(w)iinah Abu Bakr bin B(w)iinah Mkuu bin Abu Bakr bin Mkuu bin Mu~ammad bin Abi Bakr bin Mu~ammad bin 'Umar bin Mu~ammad bin A~mad bin Sulayman. Akapijuwa ghafula na-A~mad (n)duye B(w)iinah Mkuu aliyo_tukuliwa na-WaZu(n)gu, nii-ye alimpija upa(n)ga. Akafa sanati 1103. TRANSCRIPTION 283 Katawali yeye AJ:tmad bin Abii Bakr bin MuJ:tammad bin Abii Bakr bin 'Umar bin MuJ:tammad bin AJ:tmad bin MuJ:tammad bin Sulayman. Na-kisa kutawali akamu'ua na-B(w)ana Madi (n)duye. Mufalume kawaa(n)dama Porutugiili kawa_toa katika nti zake zote. Na-wa\<.ati hunu M(w)ana Darini binti B(w)anah Mkuu bin Abii Bakr, muke wa B(w)anah Mukuu bin AbI Bakr aliyo_ke(n)da Goa katika zamani za Sultani AJ:tmad, akisa ku'uwaliwa (n)duze wawili Bii Bakr na-B(w)ana Mad!, na-miime wake ke(n)da Goa, kapata J:tuzu_ni sana. Hata zikapita siku (n)yi(n)gi kataka kumutahiri kijana chake B(w)ana Tamu Mutoto aliyo amukuliwa Sultan Abii Bakr Imam al-Huda, kijana wa-B(w)anah Mukuii aliyo ke(n)da Goa. Mufalume alIpo_pata khabari ya-J:tapa M(w)ana Darini (f. 8) mi'azimu kufii(n)ya 'ariisi kumutahiri kijana chake, na-ye mufalume ka'azimu 'artisI kuwatahiri zijana zake ma'ana kumukhini M(w)ana Darini sIwa . Akisa kuyuwa khabari M(w)ana Darini kam(w)eta M(w)e(n)yi Bayayi bin Mkuu Jamal al-Layl alikuwa hudari sana kazi ya-ujume, kataka amufa(n)yizi siwa ishi(n)de siwa ya-Pate. Kari<.lika ijara riyali mia 'ishrin, akamupa pe(m)pe za-(n)dovu kati'uwa moja. Akafii(n)ya siwa k(w)a-siri J:tata siku yalipo_kisa kai~ihirisha ghafula kapeka katika maju(m)ba ya-jama'a ziike, kula mutu kitiiza J:tata fUndI kasema "Mimi sitaki ujira nataka tuzo." Kapowa, kapata mali ma(n)gi k(w)a-tiizo kafii(n)ya 'ariisI ya-kijana chake. !:lata zamani ya-B(w)ana Tamu Mukuu wakaja watu wa-Lamiih kazima siwa ya-Pate ya-a~ili, kawapa, cho(m)po kikafa mai baJ:tarini, siwa ikafutu. B(w)ana Tamu kaitaka sIwa ya-M(w)ana Darini, kam(w)a(m)bia "Tupe tutumiye katika miii." M(w)ana Darini kam(w)a(m)bia "Siwa hini za kula \<.abaili aliyo_tuza natumiye." 284 MS 177 Kawata na-mutum(w)a ~uri ayowa'u kuvuzia siwa, akasema "Huyu (n)diye m(w)e(n)yi kupija siwa hini, yeye na-nasili yake. Na-'ada yake niriyali tano na-(n)guo yakutukulia siwa na-kupowa samuli ya-kun(w)a m(w)e(n)yi kuvuzia na-tuzo kula mutu k(w)a-~adiri yake aweza'o." Wakit(w)a nasila yao "muyu(m)pe wa siwa," ~ata yeo wako watuwe ikawa. Ta(n)gu (f. 9) wa~ati hunu hutumiwa na-~abaili za-Pate na-watu wa-mii mi(n)gine he(n)da kazima k(w)a-sharuti hizo kupowa muyu(m)pe wa-siwa ilii aI-ana. Zikazidi fitina (n)dani ya-muji na-katika ufalume wake (n)yaka saba'a mikavu hapana mivua, akai'uzulu sanati 1111. Katawali Sultan AbI Bakr B(w)anah Tamu Mkuu wa-B(w)ana Mutiti bin A~mad bin AbI Bakr bin 'Vmar bin A~mad bin 'Vmar bin Mu~ammad bin A~mad bin Mu~ammad bin Sulayman. Akapatana sana na-mufalume waMaskati aI-Imam Sayf bin Nabahan aI-Ya'rubI. Na-huyu mufalume wa-Pate ake(n)da 'Arabuni wakawajn)gana mufalume wa-'Arabuni na-mufalume waPate kuwa_toa Porutugali Mombasah alipo]udi 'Arabuni. Mufalume wa Pate kapeka zita Mombasah kawapija Porutugali siku ya-juma ya-pili, wakafa Porutugali watu wa(n)gi sana, katamalaki (n)game ya-Mombasah. Kamu'arifu aI-Imam Sayf bin Nabahan al-Ya'rubI, aka'eta aI-wall katika MazarI', watu watatu Mu~ammad bin 'Vthman na-'AII bin 'Vthman, watatu nisimuyahao jina nao, walikuwa (n)dugu maya. Wakaja na-'askari tarafu aIImam Sayfbin Nabahiin aI-Ya'rubI. (N)diyo a~ili ya-MazarI' kuja Mombasah. Na-mfalume wa-Pate aliketi na-ra'iya sana, katimiza (n)yaka arba'In katika ufalume. Akafa sanati 1152. Kawata zijana wa(n)gi, ba'ada yake wasitawali zijana zake. Katawali A~mad Abu Bakr bin Mu~ammad bin AbI Bakr bin 'Vmar bin A~mad bin 'Vmar bin Mu~ammad bin A~mad bin Sulayman. Akaketi sana [18.189.180.76] Project MUSE (2024-04-26 09:31 GMT) TRANSCRIPTION 285 na-watu, na-ye akipe(n)da sana (n)go(m)be kaweka (n)go(m)pe wa(n)gi. Akafa sanati 1160. Kawata kijana kam(w)ita B(w)ana Go(n)go asitawali. Akatawali B(w)ana Tamu Mutoto (f. 10) amkuliwa'o Sultan Abii Bakr Imam al-Huda, kijana wa-B(w)anah Mukuu aliyo_tukuliwa na-Portugali. Akaeta zita Imami al-'Arab Sayf bin Nabahan al-Ya'rubi kupija Pate wasiweze, wakafa Wa'Arabu wa(n)gi wakafli(n)ya amani. Ba'ada ya-hapo watu wa-Lamiih wakakhaIifu, kawapija zita mufalume wa-Pate asiweze watu wa-Lamiih. Na-watu wa-Lamiih wakafu(n)ga zita kupija Pate wakaya na-jaishi janibu ya-Kitaka, wakapijana na-watu wa-Pate zita zikiip(w)a sana, wakavu(n)dika k(w)a-watu wa-Lamiih wakarejea Lamiih. Mufalume wa-Pate kafli(n)ya zita k(w)a-ba~ari kaya kuwapija watu wa-Liimiih kawa_tamalaki. Ba'ada ya-hapo wakawa ~ali moja watu wa-Pate na-watu waLa [miih. I]mam al-Ya'rubi wakafli(n)ya shauri [moja]. Wakamu'ua mufalume sanati 1177. Katawali (n)duye m(w)anamuke Sultan M(w)anah Khadijah binti B(w)anah Mkuu bin Abi Bakr bin Mu~ammad bin Abi Bakr bin Mu~ammad bin Abi Bakr bin Mu~ammad bin 'Umar bin Mu~ammad bin A~mad bin Mu~ammad bin Sula[y]miini. Akapata fitina (n)yi(n)gi katika nti ya-Pate, ikawa katika nti ya-Pate wafalume wawili, M(w)anah Khadijah al-madhkiirah [na-]Su1tan 'Umar. Wakapijana katika muji wa-Pate, kaki(m)bia Sultan 'Umar ake(n)da Barawah karejea Pate k(w)a-(n)guvu kilp(w)a sana. Wakapijana nawatu wa-M(w)ana Khadijah zita zikiip(w)a sana, kila mtu kaketi mahala pake. Ba'ada ya-hayo M(w)ana Khadijah akafa sanati 1187 k(w)a-mara<;li. Katawali B(w)anah Mkuu wa-Shee wa-B(w)iinah Tamu Mukuu. Ra'iya wakamufa(n)yiza udhia sana, asitapati ra~a ~ata sanati 1191 wakamu(n)gilia watu wa-miii wakamu'u_a k(w)a-tarikhi hiyo. 286 MS 177 Katawali B(w)ana Furno Madi ina lake Sultan Mu~ammad bin Abi Bakr (f. II) bin Mu~ammad bin Abi Bakr bin Mu~ammad bin Abi Bakr bin Mu~ammad bin 'Vmar bin Mu~ammad bin A~mad bin Mu~ammad bin Sulayman. Kisa kutawali ra'iya wakataka kufli(n)ya fitina, kawapija k(w)a-zita kawashi(n)da akashika watu arba'ina wa-kau. Na-katika arba'ina hao wawili ni-(n)duze yeye mufalume kha~a, kawati(n)da kama (m)buzi juu ya-sakafu damu. Ikishuka katika makup[(w)a], ikawa amani, asitoki mutu tena kutaka kufli(n)ya fitina. Katawali k(w)a-amani na-ra~a, na-ra'iya wakaona ra~a sana ~ata sanati 1224 akafa. Ba'ada yake hakutawali tena mufalume k(w)a-ra~a kama yeye. Akakhalifu zijana wa(n)gi. Katawali Sultan A~mad bin Shaykh bin Furno Luti bin B(w)anah Tamu Mukuu. Ikazidi fitina katika muji wa-Lamuh, akaya kawapija zita sanati 1228 yeye na-watu wa-Mombasah MuzarI'. Wakaeta na-watu wakashuka SheIa jaishi (n)yi(n)gi sana ya-watu wa-Pate na-watu wa-Mombasah. Watu waLamuh wakatoka wakaja Shela wakapijana nao zita zikup(w)a sana, zita zawatu wa-Lamuh zikawa na-(n)guvu sana, jaishi ya-Mombasah na-Pate zalipo_fu(n)dika zita wak[alia majahazini yao ma(n)gine yamejahabu, wakasimama hapo wakapijana zita zikub(w)a sana. Wakafa watu wa(n)gi waMombasah na-wa Pate hapana 'idadi, katika watu wa-Pate waliyo ma'arUfu isukua watum(w)a na-watu <;Ia'ifu wa~idi wa-thamanln fulan bin fulan we(n)ye wake yake(n)da ma'ida hayo, na-watu wa-Mombasah (m)bali. Ba'ada ya-hapo watu wa-Lamuh wake(n)da 'Arabuni wakamutoka Sayyid Sa'id bin Sultan, (f. 12) wakamupa nti sanati 1228. (N)dipo Sayyid Sa'id bin Sultan bin aI-Imam alipo_tawali Lamuh na-ufalume wa-Pate ukasilia katika jazlrah ya-Pate. Katoka na-mutu wa-pTIi katika zijana za-B(w)ana Furno Madi, Furno TRANSCRIPTION 287 Luti Kipu(n)ga, kapijana na-Sultani A~mad. Akafa Sultan A~mad k(w)amara <,ii sanati 1230. Katawali Furno Luti wa-B(w)anah Furno Madi, na-ye alikuwa mutu hudari sana shuja'a karimu. Na-zamani hizo (n)dipo alipo_tawali ushe~e Sha[yk]h Mataka bin Shaykh Mubarak kutawali SIwi. Kafii(n)ya bu(n)duki na- 'askari na-ye ni-katika ta'a ya-sultani wa-Pate, na-ye alipata_na sana naMuzarI 'i, watu wa-Mombasah. I:Iata sanati 1236 ikazidi fitina baina yake [na- ]sultani Zinjibiir Sayyid Sa'Id bin Sultan. Akafa Sultan Furno Luli, akafa m(w)aka hunu. Ba'ada yake katawali Furno Luti bin Shaykh bin Furno Luti bin Shaykh wa-B(w)anah Tamu Mukuu. Na-huyu (n)diye papake Sultan A~mad, sultani Witu. Katawali a~ubu~i ~ata ba'ada ~alati al-'a~iri, watu wa-miii wakamutoa, ke(n)da SIu pamoja na-Muzari'i, kisa ake(n)da Mombasah. Katawali Sultan B(w)anah Shaykh wa-B(w)anah Furno Madi, kapatana na-Sayyidi Sa'Id bin Sultani, katia Wa'Arabu Pate, wakaketi (n)yaka mitatu. Ba'ada-ye watu wa-muji wakamu'uzulu pamoya na-shauri la-Sayyid Sa'Id bin Sultan k(w)a-tarikhi sanati 1239. Wakamutawalisha Sullan A~mad amukuliwa'o B(w)anah Wazlri wa-B(w)anah Tamu wa-B(w)anah Shaykh waB (w)anah Tamu Mukuu. Akapatana sana [na-]Sayyid Sa'Id, katawali (n)yaka miwili, watu wa-muji wakamu'uzulu wakamurejeza B(w)anah Shaykh wa B(w)anah Furno Madi. Kaketi katika 'izi k(w)a-shauri Sayyid Sa'Id bin Sullani (n)yaka mitiino, akafa sanati 1247. Akarejea B(w)anah Wazlri katika ufalume. Akaja Furno Luti bin Shaykh aliyo_k(w)e(n)da Mombasah, yeye na-MuzarI'i wakashika SIu wakapijana na-B(w)ana Wazlri wa-B(w)anah Tamu Pate. Na-B(w)ana Wazlri pamoja na-Sayyid Sa'Id bin Sultan na-Fumo Luli al-madhkiir pamoja na- [18.189.180.76] Project MUSE (2024-04-26 09:31 GMT) 288 MS 177 Muziiri'i (f. 13) rna] Shaykh Mataka bin Shaykh Mubarak, shaykh wa-Siu. Wakaja Pate k(w)a-zita wakapijana watu wa-Pate wakashika nti ya-Siu wakaviinda na-ukuta wa-muji wa-Siu. Na-Shaykh Mataka bin Shaykh Mubarak na-Fiimo Luti wakatoka Siu wakaki(m)bilia barani, ba'ada ya-siku tati wakarejea Siu k(w)a-zita zikiip(w)a sana wakauashika mji wa-Siu wakaje(n)ga ukuta wakapijana Pate na-Siu. Ba'ada-ye akafu Fiimo Liiti, kata(n)ga(n)ya B(w)ana Wazlri Siu na-Pate ikawa katika ta'a yake pamoja na-shauri Sayyid Sa'Id bin Sultan bin al-Imam. Ba'ada ya-m(w)aka umoja aka'uwa'a Sultani B(w)anah Waziri wa B(w)ana Tamu waB (w)anah Shaykh wa-B(w)anah Tamu Mukuu na-Sultani Fiimo Bakr waB (w)anah Shaykh wa B(w)anah Fiimo MadI al-NabahanI. Katawali yeye ufalume wa-Pate sanati 1250 alf wa-miatayn wa-khamsln hijriyah, akapatana sana yeye na-Sayyid Sa'Id bin Sultan bin al-Imam sullini Zinjibar muda u11 wakutawali. Kisa (f. 14) kakhalifu pamoya na-Shaykh Mataka. Sayyid Sa'Id kaeta zita na-'amlr al-jaysh ni-'Amlr I:Iamad bin I:Iamad al-Samar, kazipija Pate na-Siu asiweze kara(n)ya amani. Ba'ada ya-hapo ikawa fitina baina ya-sultani wa-Pate na-'ami-yake Mui:tammad bin Ai:tmad wa-B(w)anah Fiimo MadI. Akashika (n)yii(m)ba yaufalume k(w)a-zIta. Kisa wakaja watu wa-Lamiih pamoya na-mutu wa-Sayyid Sa'Id bin Sultani wakawa_~ilii:tisha Sultan Fiimo Bakr na-Mui:tammad bin Ai:tmad, kapek(w)a Siu kuketi, Fiimo Bakari kaketi Pate. Ba'ada-ye wakateta wakapijana (n)yaka mitano Siu na-Pate, kisa kawa_patanisha Sayyid bin Sa'Id bin Sultan, akaja Pate Mui:tammad bin Ai:tmad, wakawa shauri moja na-Fiimo Bakari. Kisa Furno Bakari kamushika ghafula kamu'ua k(w)a-shauri moja yeye na-mutu wa-Siu. Kisa Sa'Id bin Sultan kam(w)ita Sultan Furno Bakr, ake(n)da U(n)giija, TRANSCRIPTION 289 sayyid kamufii(n)ga Furno Bakari k(w)a-shauri la-watu wa-Lamuh na-k(w)asababu ya-kumu'ua ibn 'ami-yake Mu~arnmad bin A~rnad na-kuwata kufuata ~ulu~u yake aliyoJa(n)ya yeye Sayyid Sa'Id katika tanKh sanati 1262. Akashika Pate Sul~an A~rnad bin Shaykh bin Furno Lu~i bin Shaykh waB (w)anah Tarnu Mukuu k(w)a-shauri Sayyid Sa'Id bin Sultan. Akaketi katika shauri la-Sayyid Sa'Id (n)yaka miwili, wakat[o]ka na-Sayyid. Akaja Sayyid Sa'Id kamupija, akashuka AmIr f,lamad bin f,larnad Fazah, kapija SIu. Nasayyid kamufu(n)gua Sultan Furno Bakr akamupa na-zita pamoya na-watu waLamuh , wakaketi Muta(n)ga_wanda. Katika (n)dipo (f. 15) yeye Sayyid Sa'Id na-AmIr f,lamad wake(n)da Paza. Sayyid Sa'Id bin Sultan kaketi mahala hit(w)a Kija(n)ga cha-Mupu(n)ga ~aribu ya-Fazah. AmIr f,lamadi akaja SIu kaweka maboma katika (n)dia yaFazah na-SIwI. AmIr f,larnad ake(n)da SIu k(w)a-zita ~ata kashika mitepe iliyoko ba(n)darini SIu, kapi(n)dua kara(n)ya maborna kapija Siu, kaona udhia sana muda walipo_kuwa mi(n)gi sana wa-zita. Karudi ArnIr f,lamad na-ba'aQi ya-watu ke(n)da bomani kut(w)a'a mzi(n)ga, kipata (n)diani watu wa-SIu wakamutokea ghafula. AmIr wa-Shaykh Mataka f,larnad 'Umar na-'amIr wapIli f,lamad (N)goma wakapijana (n)diani wakamu'ua AmIri f,lamadi wake(n)da na-mabomani wakawapija na-Wa'Arabu waliyoko bomani wakat(w)a'a mizi(n)ga na-zana, na-jaishi aliyoko Siu hupijana. Walipo_pata khabari ya-'Amiri f,lamadi ku'a jaishi ya-sayyidi ikavu(n)dika nao walikuwa wame[s]otamalaki Siu, Sayyid Sa'Id kisa kupata khabari ya-mauti ya-f,lamad bin f,lamad ka(n)gia marikabuni asinene neno ke(n)da zake Masikati. M(w)aka waili karudi karnuweka Furno Bakari Fazah akapija SIu naPate . Katika wa~ati hunu akafa Shaykh Mataka k(w)a-maraQi. Ikawa khitilafu 290 MS 177 k(w)a-zijana zake k[u]t[a]ka ushekhe, waka(n)gia katika ~a'a ya-sayyidi MUQammad na-Abu Bakr zijana za Shaykh Mataka. Sayyid kamupa Abu Bakr bin Shaykh Mataka zita pamoya na-Sultan Furno Bakr, ke(n)da kumupija Sultani AQmad. Ake(n)da Abu Bakr bin Shaykh Mataka pamoya na-'amlri (f. 16) wa-Fumo Bakr, B(w)anah Mkuu wa-l:Iamad bin Baishi al-Nabahani, waka(n)gia Siu usiku wakapijana Qata wakavu(n)dika Abu Bakr na-watu wake. Watu wa-Siu wakawa(n)dama yuma wakamushika Abu Bakr bin Shaykh Mataka wakamupeka k(w)a-Sultan AQmad Pate, kauwaw(awa)a na-Sultan AQmad. Ba'ada-ye kasimama Shaykh MUQammad bin Shaykh Mataka tarafu yaSayyid Sa'ld bin Sultan Yeye na-Fumo Bakari Sayyid Sa'ld kawapa zita na- 'askari na-gharama, wakamupija Sul~an AQmad bin Shaykh Qata wakamutoa Pate sanati 1273, ake(n)da Kau. SIu ikawa na-Shaykh MUQammad bin Mataka tarafu ya-Sayyidi, kamupa na-'askari kawaka gereza. Wakateta na-mutu wa Sayyid Sa'ld k(w)a-sababu mutu wa-sayyidi alivunda banda la-mutepe alowaka Shaykh MUQammad bin Shaykh Mataka (m)bee ya-gereza, na-Shaykh MUQammad kaviindah gerezah. Na-katika wai5:ati hiinu alikufa Sultan AQmad al-mulai5:ab B(w)anah Madiishl, babake Fuumo Bakari sul~ani Wltiih. Akaketi mahala pake Sultani AQmad al-mulai5:ab SImpa, sul~ani Wltiih. Na-i5:abula ya-Shaykh MUQammad Mataka asiyavu(n)da gereza la-Siu yalitoka fitina yeye na-Fuumo Bakr bin Shaykh, kamutoa Fuumo Bakar bin Shaykh Pate, akaja Lamuh k[u]tamalaki Pate. Walipo_'ona (n)guvu zake wakup(w)a wa-Pate na-kite(n)do mizofii(n)ya Shaykh MUQammad Mataka namiso_ataka kuwa_tawali wasikiri, kawapija zita, wakasimama wakiip(w)a waPate . Wa-Ia hawana mufalume k(w)a-shauri la-watu watatu, MUQammad bin [18.189.180.76] Project MUSE (2024-04-26 09:31 GMT) TRANSCRIPTION 291 B(w)anah Mkuu al-Nabahanl na-B(w)anah ReJ:iema bin AJ:imad al-Nabahanl naNa ~ir bin 'Abd Allah bin 'Abd aI-Salam, (n)diye aliyo_kuwa mudabir al-umur. Wakakusaya zana wakapijana na-Shaykh MuJ:iammad Mataka wakamushi(n)da sana, wakafa watu ma'arufu katika (f. 17) ma'amiri wa-Shaykh MuJ:iammad Mataka, B(w)anah DamTIa na-Mawlana wa-Shee Kiili. Shaykh MuJ:iammad Mataka akaya kutaka amani k(w)a-MuJ:iammad bin B(w)anah Mkuu k(w)ani (n)diye aliyo_kuwa mukup(w)a wa'o katika hawa watu watatu tumezo_wataya. Wakapatana kumupa yeye MuJ:iammad bin B(w)anah Mkuu [u]falume wa-SIu na-Pate, akaiza kasema "Mimi ni-mtu mzima." Wake(n)da kumut(w)a'a Sultani AJ:imad al-mula~ab SImpa aliko Kau. Khabari ikafika k(w)a-sulutani wa-U(n)guja Sayyid Majid bin Sa'ld, kamueta wazlri wake Sayyid Sulayman bin I:Iamad k(w)a-marikabu, akaja ili_aji Pate uvundi fitina. Na-marikabu ikiwa_~ili Ma[nd]ra Pate mek(w)isa kushika mutu wa Sultani AJ:imad, Abu Bakr bin I:Iasan aI-Bun alikiija na-ye niNa ~ir bin 'Abd Allah bin 'Abd aI-Salam. Akisa kupata khabari Sayyid Sulaymani bin I:Iamad karejea U(n)guja, na-Shaykh MuJ:iammad Mataka wa~ati hunu (n)dipo alipo_vu(n)da gereza la-Siu. Akisa kuwa~ili Sultan AJ:imad Pate jaml'i ya-watu wakamuba'i kuwa (n)diye mufalume, ni-Shaykh MuJ:iammd Mataka na-Muzee wa SHu na-Shaykh Shikuuh na-MuJ:iammad Mote, ukasita1.ciri kuwa-Sultan AJ:imad kuwa (n)diye mufaI[u]me, wakamuba'i watu hawa wote. Sayyid Majid kapeka watu wa-Lamiih Pate k(w)a-nu~J:ia pamoja naShaykh MuJ:i1 aI-DIn kutaka Sultani AJ:imad aweke 'askari Pate. Na-hiiyu Shaykh MuJ:i1 aI-DIn (n)diye aliyo_watoa 'askar[i] wa-sayyid SIu aIipo_wapija zita Shaykh MuJ:iammad Mataka; 'asikari wali-(n)dani ya-gereza ya-SIu, Shaykh MuJ:i1 aI-DIn kawa_toa 'askari k(w)a-amani, k(w)ani huyu Shaykh MuJ:i1 aI-DIn 292 MS 177 alikuwa mutu wa-Sayyid Majid bin Sa'id. (f. 18) Zamani alipo na-'askari U(n)guja Sayidi Majidi kafii(n)ya hasira sana kuwa_toa 'askari SIu, kat(w)a'a daraka Shaykh MU~I aI-DIn alipo_muona Sayidi Majidi mefii(n)ya gha<;iabu. Na-huyu Shaykh MU~I aI-DIn alina ~na sana na-'ilimu (n)yi(n)gi, akaja Lamuh katukua na-khiyari ya-watu wa-Lamuh na-Shaykh A~mad na-Shaykh 'Abd al-Ra~man, awlad shaykh Pateh, kumuna~i~i Sultan A~mad k(w)a-~u~uba yaliyo_kuwa baina yao. Kari<;iika kuweka 'askari ba'ada ya-shiddah sana, akakhalifu shauri la-waziri wake Na~ir bin 'Abd Allah k(w)ani aliiza kutia Wa'Arabu ~ata mutu um6ja. Klsa watu wa-Pate wakafii(n)ya shauri na-M(w)ana Jaha bint aI-Sultan Furno Luti Kipu(n)ga wa-B(w)ana Furno Madi, muke wa-Sultani Fuumo Bakr bin Shaykh. Na-wa1.cati hunu Furno Bakari oko Lamuh tini ya-shauri la-Sayidi Majid bin Sa'id ta(n)gu alipo_tolewa Pate. Basi kula siku wakatia 'askari na-zana usiku k(w)a-siri, ~ata alipojua khabari Sultani A~mad 'asikari wamekuwa wa(n)gi Pate, ikawa fitina, wakamupija Sultan A~mad ghafula ba'ada ya-kutaka kumushika k(w)a-~na wasiweze k(w)ani watu wote walikuwa shauri moja na-Sayyid Majid bin Sa'id iso_kuwa waziri wake Na~ir bin 'Abd Allah [bin] 'Abd aI-Salam. Wakapijana (n)dani ya-muji wa-Pate zita zikup(w)a sana, katoka Sultan A~mad yeye naShaykh Mu~ammad bin Mataka wake(n)da SIu. Pate wakaketi Wa'Arabu tarafu ya-Sayyid Majid na-ba~arini katia marikabu, zita zalipo_kuwa zikuu sana akaja yeye Sayyid Majid bin Sa'id. (f. 19) Waka~u[~]u[r]u kisiwa cha-Pate k(w)a-ba~ari kusipiti cho(m)po, katia silisila katika kan(w)a la-muto wa SIu Kuyo. Wakapijana (n)yezi sitah k(w)aba ~ari na-k(w)a-janibu ya-Pate. Na-janibu [ya-Fazah] Muzee wa-Sefu kakhalifu akawa mutu wa-Sayidi Majidi k(w)a-~na (n)yi(n)gi na-maneno TRANSCRIPTION 293 ma(n)gi. Kaona ~i~ Sultan A~mad na-Shaykh Mu~ammad Matiika. Na-nti ya-Siu ikawa fitina, ba'a~i ya-watu wape(n)da Sayyid Majidi k(w)a-sababu ya-mashaka wamezo_pata, na-watuwe ni-Sharif MawUina bin Abii Bakr na-'lsa bin A~mad aI-SomalI. Walipo_ona haya Sultan A~mad naShaykh Mataka wakataka amani k(w)a-Sayyid Majidi, kawapa amani. Katika maneno ya-'amani Sultan A~mad kasafiri k(w)a-siri u_siku ake(n)da barani karajea Kau. Na-Shaykh Mu~ammad Mataka akamupeka kijana chake marikabiini Shaykh bin Mu~ammad, na-sayyid kamusame~e kamupa na-~eshima sana. Sayyid kasafiri ake(n)da zake U(n)giija. Ba'ada-ye Mu~ammad bin Matiika ake(n)da U(n)giija kumuwajihi Sayyid Miijidi. Sayidi kamufii(n)ga kamupeka (n)gomeni Mombasah na-watu wa(n)gi. Akafa ba'ada ya-siku tati. Sultiini A~mad alikQ Kau. Kapekwa aI-Will Sa'iid bin J:Iamad kumushika k(w)a-~TIa asiweze, katoka ke(n)da Witu. AI-Wall Sa'iid bin J:Iamad karejea Lamiih ake(n)da Fiizah kata(n)ya taratibu kamushika 'Umar Matiik[a] na-zijana wa-Shaykh Mu~ammad Mataka wote, wakashikuwa Siu wakaja Lamiih. 'Umar Mataka kamufu(n)ga Lamiih, zijana wote kawapeka (n)gomeni Mombasah. Ba'ada ya-hapo katamalaki Sayyid Majid Sawa~ili zote, pasiwe na-mutu wakumu'ari~i. Na-Sultan A~mad kaketi Witu katika ta'a ya-Sayidi Majidi ~atii wa\cati wa-Sayyid Baraghashi bin Sa'Id. Akataka kuweka 'askari Witu nabe (n)dera, Sultan A~mad (f. 20) asiri~iki, kapeka zita Sayyid Barghash kamupija Sultan A~mad, asiweze kafii(n)ya amani aI-waIl Sa'iid bin J:Iamad. Sayyid Barghash hakumufura~iya tena al-WalI Sa'iid bin J:Iamad k(w)asababu kufii(n)ya amani upesi na-ye hakumupija sana zita. Sayyid Barghash kapeka tena zita zamani na-al-WaII Sa'iid bin J:Iamad. Sultan A~mad kat(w)a'a [18.189.180.76] Project MUSE (2024-04-26 09:31 GMT) 294 MS 177 I:limayah k(w)a-Jarmani. Wal,cati hunu zikarudi zita za Sayidi Barghash. Kaketi Sultan Al:lmad katika I:limayah ya-Jarmani, wakamupa na-ba'a9i ya-bara ya-Sawal:lili. Akafa Sultan Al:lmad I:lali hiyo katika I:limayah sanati 1306. Katawali Furno Bakr bin Sultan A~mad bin Shaykh katika I:lali hiyo. Akatoka fitina baina yake na-Jarmani. Mutu umoja hit(w)a Kinsili kamupija bawabu wa-Ia(n)go la-mlii k(w)a-ra~a~i, walikuweko ni-'asikari chao wakamupija Kinsili na-WaZu(n)gu waliyoJuetene, na-ye wakawau wa-wote min ghayri amri ya-Sultan Furno Bakr. 'Askari walipo_muona jama'a yao mekufa hawa_ku(n)guja amri. Na-watu wa-Mukunu(m)bi na-Wa(n)da_muyu walipo_pata khabari ya-ka(m)pa WaZu(n)gu wamepijana w[o]t[e] nao wakawa_ua WaZu(n)gu waliyo_kuweka. Ba'ada-ye akaja dolah tukufu ya-Wa(N)gereza, wakataka kufa(n)ya in~afi wakataka watu wa-Mukunu(m)bi na-watu wa-Wa(n)da_muyu ma'ana awatiye katika I:lukumu. Asiri9iki Sultan Furno Bakr kuwa_toa, kwakamupija zita zikaya mashua I:lata Mukunu(m)bi na-Wa(n)da_muyu na-Kilimani (f. 21) na- (N)dapi na-(N)ya(n)do_za-p(w)ani, wakazipija k(w)a-mizinga wakazUia moto. l:Iata laylah 11 RabI' al-Awwal sanati 130[8] wakapijana watu wa-Witu katika ndia ya-Kiplni, na-watu wa-dolah tukufu, watu wa-Witu wakavu(n)dika. !:lata a~ubul:li m(w)ezi 12 RabI' al-Awwal sanati 1308 wakamupija Sultani Furno Bakari Wltu wakamutoa k(w)a-zita. Sultan Furno Bakr ake(n)da Jo(n)geni. Wltuh ikatamalakiwa na-dola tukufu. Furno Bakar kaketi Jo(n)geni I:lata m(w)ezi 28 Jumad al-Awwal sanati 1308 akafa. Akashika mahali pake (n)duye B(w)anah Shaykh bin Sultan A~mad. Ba'ada ya-siku tati ikawa fitina, akashikuwah na-(n)duye Furno 'Umar na-'AvutUla wa-Bakhlru. Wakamufu(n)ga B(w)ana Shaykh ya-Sultan A~mad. Katawali Furno 'Umar bin Sultan A~mad bin Shaykh. Ikawa kamajinsi TRANSCRIPTION 295 yaloJruwa baina yake na-d6lah tukufu. Ama mufalume wa-k(w)isa kutamalaki Witu ni-Sul!an Furno 'Vmar almadhkur na-wa-k(w)isa kutamalaki Pate ni-Sul!an A~mad, sul!ani Witu almula1 ,cab Simpa. Na-aliyo_tamalaki k(w)a(n)da ni-Sulayman bin Sulayman bin al-Mu~affar al-Nabahani Imam al-'Arab. Hini (n)diyo khabari ya-Nabahani kuja Sawa~ili na-khabari zao. Wametawali wafalume wa~id wa thalathln na-m(w)anamuke um6ja kama tumezo_ta(n)gulia kutaja mpili. NasUalina1,cili haya k(w)a-Mu~ammad bin Furno 'Vmar al-Nabahani almula1 ,cab B(w)anah KitlnI, na-ye alipo_kea na-jadi yake Mu~ammad bin B(w)anah Mkuu al-Nabahani al-mula\cab B(w)anah Simpa k(w)ani (n)diye al09ibitiye sana khabari za kae na-nasaba zao kama tumezo_ta(n)gulia kutaya. Katabah Sali~ bin Salim bin A~mad bin 'Abd Allah bin Mu~ammad [B]a- Shara~TI bi-yadih. (f. 22) Hizi ya-'akhbari za-Pate na-zita zao nasaba za Nabahani, nasUali_na\cili haya sabi\can k(w)a-Mu~ammad bin Furno 'Vmar na-ye alina\cili k(w)a-jadi yake Mu~ammad bin B(w)anah Mkuu al-NabahanI, mukup(w)a wa-wazee wa-Pate. Li-ya'lam [fa\cr al-fa\clr(?)] li-llah ta'a[Ia] Sali~ bin Salim bin A~mad bin 'Abd Allah bin Mu~ammad bin'Abd Allah [B]a-Shara~TI bi-yadih. ...

Share