In lieu of an abstract, here is a brief excerpt of the content:

148 SWAHILI MADE EASY PART ONE EXERCISE 1 (Pg. 6) 1. Karibu. 2. Sijambo. 3. Nzuri. 4. Please, sit down.The answer is Asante, or Starehe. 5. Shikamoo is used to greet older people and those senior in status.The answer is Marahaba. 6. Karibuni. 7. Kwa heri. 8. Hodi. 9. Pole. 10. Asante, or nimekwisha poa. 11. Hongera. 12. Asante. EXERCISE 2 (Pg. 9) 1. Pupils, thieves, women, companions, guest, servant 2. Drunkard, wife, husband, director, cook, old man, liar. 3. Man, child, sick person (patient), girl, boy, child, thief. 4. Waongo, wezi, wenzi, wanawake, wanaume, waume, walimu. 5. Wasichana, wanadamu, wazee, wanafunzi, watoto, wageni. EXERCISE 3 (Pg. 13) 1. Mgeni safi; 2. watu wekundu; 3. walevi wengi PART ONE 149 4. wapishi hodari; 5. wagonjwa wachache; 6. watoto weusi; 7. mwalimu mweupe; 8. nice mwema; 9. wanaume hodari; 10. watu wote; 11. baba mkali; 12. wake hodari; 13. wanaume wazito; 14. watoto wafupi; 15. wazee warefu; 16. mgonjwa mwepesi; 17. mwanamke bora; 18. wanafunzi wengi; 19. mpishi mzuri. EXERCISE 4 (Pg. 14) 1. Wapishi ni waganga hodari na vipofu ni watu wazuri. 2. Wageni ni wanawake wazuri na ni wake hodari. 3. Wazee ni walevi wakubwa na wasichana ni wanawake wadogo. 4. Wezi ni werevu na ni watu waongo na wabaya. 5. Walimu ni watu wema na ni baba wazuri. 6. Watumishi ni watu wafupi na werevu. [18.222.115.179] Project MUSE (2024-04-25 07:54 GMT) 150 SWAHILI MADE EASY EXERCISE 5 (Pg. 14) 1. Mama ni mpishi hodari (wazuri); waganga ni watu wazuri (wema). 2. Wanaume na wanawake ni watu; watoto ni watu wadogo. 3. Watumishi ni watu wazuri; watumishi ni wanawake. 4. Wageni ni watu warefu; wageni ni watu weupe. 5. Tatu ni mke mzuri na Mashaka ni mtoto mzuri. 6. Wanaume wengi ni waume wazuri na wanawake wengi ni wake wazuri. 7. Wanafunzi wengi ni watoto wadogo na walimu wengi ni wazee. 8. Watu wengi ni wagonjwa, watu wachache ni waganga. 9. Wageni wengi ni watu warefu, wachache ni wafupi. 10. Amina ni mwalimu hodari na mama mzuri sana. 11. Vipofu wanaume ni wachache; vipofu wanawake ni wengi. 12. Watoto wote ni weupe na wazee wote ni weusi. EXERCISE 6 (Pg. 16) 1. Mtoto mdogo ana mikono na miguu midogo. 2. Watu wafupi wana miguu mifupi na watu warefu wana miguu mirefu. 3. Ana moyo mzuri na midomo mizuri. 4. Mwanzo ni mgumu lakini mwisho ni rahisi. 5. Walimu na waganga wana mioyo mizuri. 6. Wagonjwa ni wengi lakini waganga ni wachache. 7. Mitende ni mirefu na ina mizizi mirefu. 8. Mioyo miepesi ni mizuri lakini mioyo mizito ni mizuri pia. 9. Mashaka ana miguu mirefu na mdomo mkubwa. 10. Miaka mirefu ni mingi, lakini miaka mifupi ni michache. 11. Wazee wana miili mizito na miguu miepesi. PART ONE 151 EXERCISE 7 (Pg 17) 1. vidole virefu; 2. ana kichwa kikubwa; 3. ana kitanda kirefu; (4) viazi vingi; 4. viatu vizuri sana; 5. wezi wana vifua vipana; 6. visu vikal i; 7. kikapu kikubwa. EXERCISE 8 (Pg. 18) 1. vitabu vyeusi; 2. viti vyepesi; 3. chumba cheupe; 4. kikombe kidogo; 5. chuma laini; 6. chombo chembamba; 7. mtoto ana viazi vyeupe; 8. watoto wana viazi vyeupe; 9. chakula kidogo; 10. vyakula vidogo; 11. vitu vingi; 12. vyuma vikubwa; 13. viti virefu; 14. visu vikali; 15. viazi ghali; 16. viazi rahisi; 17. kikombe kidogo. 152 SWAHILI MADE EASY EXERCISE 9 (Pg. 19) 1. nazi tamu; 2. meza kubwa; 3. saa ndefu; 4. faida na hasara; 5. furaha na uchungu; 6. chai na sukari; 7. mkate na nyama; 8. viazi na chumvi; 9. fedha nyingi 10. njia pana; 11. saa chache; 12. kalamu kali; 13. habari nzuri au habari mbaya; 14. chupa nyepesi ; 15. saa ndefu. EXERCISE 10 (Pg. 23) 1. Mtoto ana macho mazuri na masikio makubwa. 2. Walimu wana macho makali na masikio mapana. 3. Mbwa ana jina zuri. 4. Swali ni gumu lakini jibu ni rahisi. 5. Wazee hujadili mambo muhimu. 6. Wanawake wenye masanduku makubwa wana habari nzuri. 7. Watoto wadogo wana maji na mama wana maziwa. 8. Ndizi na matunda; nyumba na milango; mashamba na majani. 9. Mawe makubwa ni machache, lakini mawe madogo ni mengi. 10. Macho na masikio ni maajabu; mvua na mito pia. [18.222.115.179] Project MUSE (2024-04-25 07:54 GMT) PART ONE 153 EXERCISE 11 (Pg. 23) 1. Watoto wana mikono midogo na macho makubwa. 2. Wageni ni wengi na wote ni watu wazuri. 3. Viti ni vichache na watoto ni...

Share