In lieu of an abstract, here is a brief excerpt of the content:

TRANSCRIPTION [1] Habari ya auwali ya Nabhani kuja9 Sawahili na habari zao zote. Wametawala wafalume wahidi wa salasini na mwanamke mmoja1 ndiye wa sineni2 wa salasini 32, na habari zao ni hizi zote. Tumenakili kwa Muhammadi bin Fumu 'Umari aitwaye3 Bwana Kitini naye alipokea na bibye Muhammad bin Bwana Mkuuaitwaye3 Bwana Simba an-Nabhani alizibiti4 habari za kale4a na nasaba zao kama hizi nilizotaja.5 [2] Mtu wa kwanza6 kuja7 katika an-Nabhani Pate Seliman Bin Seliman Bin Muzaffar na nduuze wawili Ali bin Seliman na Asmani bin Seliman. Alokuwa sultani Seliman bin Seliman almazkur. ndiye aliyekuwa8 mfalme 'Arabuni. Akatolewa nal [a]lya'rab(i) akaja9 Pate katika ras sanati 600 1 A. umoya 2 A. isnaini. 3 A. amkuliwao. 4 A. alizibitiye. 4a= changed to ka 'e with lead. 5 A. mezataya. 6 A. kwanda. 7 A. kuya. 8 A. alokuwa. 9 A. -ya. [Editor's note: the reader will find this reading marked with the same number 9 throughout the length of MS A.] 202 HEEPE'S VERSION hijriya akaoa katikalO kabila ya Battawiyyuna binti wa mfalme wa Pate (p.2) na dasturi ya (wa)-Sawahili hatta sasa mtu [a]kikuoleya mtoto wakoll akisha!2 (siku) saba'a huja!3 kukwangalia yule baba'ake!4 mke wako humpa kitu. Alipokwenda kumwangalia akampisha!5 yeye ufal(u)me. Tangu hapo katawala Seliman bin Seliman almazkur. [3] Na Kitaka ualikuwa!6 muji katika matla'i ya Pate. [Na]wakati hUU!7 ha[u]tasa kuweko mujp9 wa Siu kuwali!8 na mujP9 jina lake20 Shanga katika matla'i ya Pate. Na Paza walikuwako2! wenyewe wa Paza al-Mafaziyyuna. Aloketi ufal(u)me wa Pate na miji hii22: Kitaka na Pate na Mandra yali[kuwa]na mfal(u)me wake wa Mandra ni Seliman(i) bin Seliman(i) 10 Beginning of page 2. 11 A. mwano. 12 A. akisa. 13 A. huya. 14 A. uliye or ule babake. 15 A. kampisa. 16 A. walikuwa. 17 A. hunu. 18 A. kwalina. 19 A. muyi. 20 A. walitamkuliwa. 21 A. walikuweko. 22 A. miyi hini. [3.15.147.215] Project MUSE (2024-04-25 07:44 GMT) TRANSCRIPTION 203 almazkur. Akaza'a vijana23 Muhammad na Ahmad, akafa sultan Seliman sanati 625.24 [4] Wakati hUUl7 ulikuwa25 um[u]ri wa Muhammad bin Seliman nyaka'ishrini na Ahmadi umn wake nyaka hamusta'ashara, katawala Muhammad Bin Seliman baada ya babake kapijana na watu wa Shanga [a]kawashinda [a]kauvunda (p.3) mujj19 akawatukua26 watu wa Shanga wakaja9 Pate na ba'zi wakakimbiya katika watu walokuja9 Pate na ba'[a]zi yao kuna watu kabila ya Wakinandangu wakakimbiya wasijulikane27 walipokwenda28. Hatta siku zikapita ikaja9 habari kwa mfalme Muhammad bin Seliman na wawinda wakamwambiya: wale waliyokimbiya29 tumewaona katika mwitu; [a]kape[le]ka watu kuwangalia wakawaona30 ndani mwa mwitu. Wamefanya majumba31 wameketi hapo wakawatukua wakaja9 nawo Pate. 23 A. zijana. [Editor's note: the same reading in MS A is marked with the number 23 further on.] 24 A. Beginning of page 3. 25 A. yalikuwa. 26 A. kabisa. 27 A. wasiyuwikane. 28 A. wamezepo nenda. 29 A. wa Shiu. 30 A. wakawadirika. 31 A. zijumba. 32 A. kisa. 204 HEEPE'S VERSION [a]kawarudisha papo [alipo watukua] ndiyo33 asli ya SiU34. Kisha32 wakaja9 na watu wangine wa Sawahili wakiketi Siu. Kisha32 wakaja9Wafamau wakawa wakuu wa Siu katika ta'a ya mfal(u)me wa Pate siku nyingp48. [5] Katika sanati 650 akafa sultani Muhammad bin Seliman akatawala nduye sultan Ahmad Bin Seliman aka'amirisha sana (p. 4) katika nti ya Pate. Akafanya3S mashamba na kujenga36 majumba asipije mahala. hatta sanati 670 akafa. [6] Akatawala kijana wa sultan Muhammad bin Seliman jina lake Ahmad Bin Muhammad Bin Seliman. Akaketi kama siyara za 'ami yake katika 'imara ya mujP9 wa Pate. (Naye)akapata vijana23 wangi. [7] Alipokufa sanati 705 akatwaa ufal(u)me katika vijana23 vyake37 jina3 lake Muhammad Bin Ahmad Bin Muhammad Bin Seliman. akaketi akafutahi miji19 ya Sawahili Paza na Mandra kwa vita vingp8 katika nti ya Paza.39 Wa amma Mandra waliingia kwa vita vya40 hila wakavunda kabisa. Na watu akawa[l]eta Pate. Na ba'zi wakakimbiya wakenda kulla mahala wakaja9Shela na Malindi na mijP9 mingine. [Na]wal[iy]okwenda Shela wakangia katika 33 A. ndipo. 34 A. Beginning of page 4. 34a in A follows hatta, crossed out with lead. 3' A. kwa kutia. 36 A. kuwaka. 37 A. zake. 38 A. zita zingi. 39 A. Beginning of page 5. 40 A. zita za. TRANSCRIPTION 205 himaya ya watu wa Amu. Mfal...

Share